Hesabu 26:42
Hawa ndio waliokuwa wazao wa Dani kwa koo zao: 1 kutoka kwa Shuhamu, ukoo wa Washuhamu. Hizi ndizo zilizokuwa koo za Dani:
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
41Hizi ndizo zilizokuwa koo za Benyamini; wale waliohesabiwa walikuwa 45,600.
43Wote walikuwa koo za Washuhamu; wale waliohesabiwa walikuwa 64,400.
Cross References
Genesis 46:23Mwana wa Dani ni: 2 Hushimu. 1