Numbers 28:9
“ ‘Siku ya Sabato, utatoa sadaka ya wana-kondoo wawili wa mwaka mmoja wasiokuwa na dosari pamoja na sadaka yake ya kinywaji na sadaka ya nafaka yenye uzito wa sehemu mbili za kumi za efa + 28:9 Sehemu mbili za kumi za efa ni sawa na kilo 2. za unga laini uliochanganywa na mafuta.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Exodus 20:8Ikumbuke siku ya Sabato, uitakase.
2 Chronicles 2:3Solomoni akapeleka ujumbe huu kwa Mfalme Hiramu wa Tiro: “Unitumie magogo ya mierezi kama ulivyomfanyia baba yangu Daudi wakati ulipompelekea mierezi ya kujenga jumba lake la kifalme la kuishi.
Isaiah 58:13“Kama ukitunza miguu yako isivunje Sabato, 2 na kutokufanya kama vile upendavyo katika siku yangu takatifu, 1 kama ukiita Sabato siku ya furaha 2 na siku takatifu ya Bwana ya kuheshimiwa, 1 kama utaiheshimu kwa kutoenenda 2 katika njia zako mwenyewe, 1 na kutokufanya yakupendezayo 2 au kusema maneno ya upuzi, 1
Revelation 1:10Katika siku ya Bwana, nilikuwa katika Roho na nikasikia sauti kubwa kama ya baragumu nyuma yangu