The Bible Software
bible.softwareNumbersNumbers 31 › Numbers 31:27

Numbers 31:27

Gawanyeni hizo nyara kati ya askari ambao walishiriki katika vita na kwa jumuiya.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And divide the prey into two parts; between them that took the war upon them, who went out to battle, and between all the congregation:

In Context

26“Wewe na kuhani Eleazari pamoja na viongozi wa jamaa ya jumuiya mtahesabu watu wote na wanyama ambao walitekwa.

28Kutoka fungu la wale waliokwenda kupigana vitani, tenga kama ushuru kwa ajili ya Bwana kitu kimoja kati ya kila mia tano, ikiwa ni wanadamu, ngʼombe, punda, kondoo au mbuzi.

Read all of Numbers 31

Cross References

Joshua 22:8akisema, “Rudini nyumbani mwenu na utajiri wenu mwingi, yaani makundi makubwa ya mifugo, mkiwa na fedha, dhahabu, shaba na chuma, pia wingi wa nguo, nanyi mkagawane na ndugu zenu hizo nyara zilizotoka kwa adui zenu.”

1 Samuel 30:24Ni nani atasikiliza yale mnayosema? Fungu la mtu aliyekaa na vyombo litakuwa sawa na la yule aliyekwenda vitani. Wote watashiriki sawa.”

Psalms 68:13Hata ulalapo katikati ya mioto ya kambini, 2 mabawa ya njiwa wangu yamefunikwa kwa fedha, 2 manyoya yake kwa dhahabu ingʼaayo.” 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Numbers 31:27

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Numbers 31:26Numbers 31Numbers 31:28 →