Yoshua 22:8
akisema, “Rudini nyumbani mwenu na utajiri wenu mwingi, yaani makundi makubwa ya mifugo, mkiwa na fedha, dhahabu, shaba na chuma, pia wingi wa nguo, nanyi mkagawane na ndugu zenu hizo nyara zilizotoka kwa adui zenu.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Numbers 31:27Gawanyeni hizo nyara kati ya askari ambao walishiriki katika vita na kwa jumuiya.
Deuteronomy 8:17Mnaweza kusema, “Uwezo wangu na nguvu za mikono yangu ndizo zilizonipatia utajiri huu.”
1 Samuel 30:24Ni nani atasikiliza yale mnayosema? Fungu la mtu aliyekaa na vyombo litakuwa sawa na la yule aliyekwenda vitani. Wote watashiriki sawa.”
2 Chronicles 32:27Hezekia alikuwa na utajiri mwingi sana na heshima, naye akajifanyia hazina kwa ajili ya fedha yake na dhahabu na kwa ajili ya vito vyake vya thamani, vikolezi, ngao na aina zote za vyombo vya thamani.
Proverbs 3:16Maisha marefu yako katika mkono wake wa kuume; 2 katika mkono wake wa kushoto 2 kuna utajiri na heshima. 1
Hebrews 11:26Aliona kushutumiwa kwa ajili ya Kristo ni utajiri mkubwa zaidi kuliko hazina za Misri, maana alikuwa anatazamia kupata thawabu baadaye.