The Bible Software
bible.software › Zaburi › Zaburi 68 › Zaburi 68:13

Zaburi 68:13

Hata ulalapo katikati ya mioto ya kambini, 2 mabawa ya njiwa wangu yamefunikwa kwa fedha, 2 manyoya yake kwa dhahabu ingʼaayo.” 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Though ye have lien among the pots, yet shall ye be as the wings of a dove covered with silver, and her feathers with yellow gold.

In Context

12“Wafalme na majeshi walikimbia upesi, 2 watu waliobaki kambini waligawana nyara. 1

14Wakati Mwenyezi + 68:14 Mwenyezi hapa ina maana ya Shaddai kwa Kiebrania. alipowatawanya wafalme katika nchi, 2 ilikuwa kama theluji iliyoanguka juu ya Salmoni. 1

Read all of Zaburi 68

Cross References

Genesis 49:14“Isakari ni punda mwenye nguvu 2 ambaye amelala kati ya mizigo yake. 1

Numbers 31:27Gawanyeni hizo nyara kati ya askari ambao walishiriki katika vita na kwa jumuiya.

Judges 5:16Kwa nini ulikaa katikati ya mazizi ya kondoo 2 kusikiliza sauti ya filimbi zinazoita makundi? 1 Kwa jamaa za Reubeni, 2 palikuwa na kujihoji kukubwa moyoni. 1

1 Kings 4:20Watu wa Yuda na Israeli walikuwa wengi kama mchanga wa pwani; walikula, wakanywa na kufurahi.

Psalms 74:19Usiukabidhi uhai wa njiwa wako kwa wanyama wakali wa mwitu; 2 usisahau kabisa uhai wa watu wako wanaoteseka milele. 1

Psalms 105:37Akawatoa Israeli katika nchi 2 wakiwa na fedha na dhahabu nyingi, 1 wala hakuna hata mmoja 2 kutoka kabila zao aliyejikwaa. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Zaburi 68:13

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschCharles SpurgeonScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Zaburi 68:12Zaburi 68Zaburi 68:14 →