Numbers 32:10
Siku ile hasira ya Bwana iliwaka naye akaapa kiapo hiki:
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And the LORD’S anger was kindled the same time, and he sware, saying,
In Context
Cross References
Numbers 14:11Bwana akamwambia Mose, “Watu hawa watanidharau mpaka lini? Wataendelea kukataa kuniamini mimi mpaka lini, ingawa nimetenda ishara za miujiza miongoni mwao?
Numbers 14:23hakuna hata mmoja wao atakayeona nchi niliyowaahidi baba zao kwa kiapo. Hakuna hata mmoja ambaye amenidharau atakayeiona.
Deuteronomy 1:34Wakati Bwana aliposikia lile mlilosema, alikasirika, akaapa, akasema:
Ezekiel 20:15Tena kwa mkono ulioinuliwa nikawaapia huko jangwani kwamba nisingewaingiza katika nchi niliyokuwa nimewapa, yaani, nchi itiririkayo maziwa na asali, nchi nzuri kuliko zote,