Numbers 33:2
Kwa agizo la Bwana, Mose aliweka kumbukumbu ya vituo katika safari yao. Hivi ndivyo vituo katika safari yao: 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Numbers 9:17Wakati wowote wingu lilipoinuka kutoka juu ya Hema, nao Waisraeli waliondoka; mahali popote wingu liliposimama, Waisraeli walipiga kambi.
Numbers 10:13Waliondoka kwa mara ya kwanza kwa agizo la Bwana kupitia kwa Mose.
Deuteronomy 10:11Bwana akaniambia, “Nenda, ukawaongoze watu katika njia yao ili kwamba waweze kuingia na kuimiliki nchi ile niliyowaapia baba zao kuwapa.” 1 Mche Bwana