Numbers 4:28
Hii ndiyo huduma ya koo za Wagershoni katika Hema la Kukutania. Wajibu wao utakuwa chini ya maelekezo ya Ithamari mwana wa kuhani Aroni. 1 Wamerari
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
29“Wahesabu Wamerari kwa koo zao na jamaa zao.
Cross References
Numbers 4:33Huu ndio utumishi wa koo za Merari kama watakavyofanya kazi katika Hema la Kukutania, chini ya maelekezo ya Ithamari mwana wa kuhani, Aroni.” 1 Kuhesabiwa Kwa Koo Za Walawi
1 Corinthians 12:5Kuna huduma za aina mbalimbali, lakini Bwana ni yule yule.