Numbers 3:32
Kiongozi mkuu wa Walawi alikuwa Eleazari mwana wa kuhani, Aroni. Aliwekwa juu ya wale waliowajibika kutunza mahali patakatifu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
33Kwa Merari kulikuwa na koo za Wamahli na Wamushi; hizi zilikuwa koo za Merari.
Cross References
Numbers 4:16“Eleazari mwana wa Aroni, kuhani, ndiye atakayesimamia mafuta kwa ajili ya taa, uvumba wenye harufu nzuri, sadaka za kila siku za nafaka na mafuta ya upako. Ndiye atakayekuwa msimamizi wa maskani yote ya Bwana na kila kitu kilichomo ndani mwake pamoja na samani takatifu na vyombo vyake.”
Numbers 4:40waliohesabiwa kwa koo zao na jamaa zao, walikuwa 2,630.
Numbers 20:25Watwae Aroni na Eleazari mwanawe, na uwapandishe juu katika Mlima wa Hori.
1 Chronicles 9:14Jamaa za Walawi walikuwa: 2 Shemaya, mwana wa Hashubu, mwana wa Azrikamu, mwana wa Hashabia, wa wana wa Merari.
Ezra 7:5mwana wa Abishua, mwana wa Finehasi, mwana wa Eleazari, mwana wa kuhani mkuu Aroni.