Numbers 5:17
Kisha kuhani atachukua sehemu ya maji matakatifu ndani ya gudulia la udongo na kuchanganya na baadhi ya vumbi kutoka sakafu ya Maskani.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
16“ ‘Kuhani atamleta huyo mwanamke na kumsimamisha mbele za Bwana.
Cross References
Exodus 30:18“Tengeneza sinia la shaba lenye kitako cha shaba kwa ajili ya kunawia. Liweke kati ya Hema la Kukutania na madhabahu, kisha uweke maji ndani yake.
Job 2:12Walipomwona kwa mbali, ilikuwa vigumu kumtambua. Wakaanza kulia kwa sauti kubwa, wakayararua majoho yao na kujirushia mavumbi juu ya vichwa vyao.
Lamentations 3:29Na azike uso wake mavumbini 2 bado panawezekana kuwa na matumaini. 1
John 8:8Akainama tena na kuandika ardhini.