bible.software › Numbers › Numbers 6 › Numbers 6:4
Numbers 6:4
Kwa muda wote atakaokuwa Mnadhiri, kamwe hatakula chochote kitokanacho na mzabibu, sio mbegu wala maganda.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
All the days of his separation shall he eat nothing that is made of the vine tree, from the kernels even to the husk.
In Context
3ni lazima ajitenge na mvinyo na kinywaji kingine chochote chenye chachu, na kamwe asinywe siki itokanayo na mvinyo au itokanayo na kinywaji kingine chenye chachu. Kamwe asinywe maji ya zabibu wala kula zabibu mbichi au kavu.
5“ ‘Kwa muda wote wa nadhiri yake ya kujitenga kwa ajili ya Bwana, wembe hautapita kichwani mwake. Ni lazima awe mtakatifu mpaka kipindi cha kujitenga kwake kwa ajili ya Bwana kiishe; ni lazima aache nywele za kichwa chake zirefuke.
Read all of Numbers 6
Cross References
Numbers 6:8Kwa kipindi chote cha kujitenga kwake yeye ni wakfu kwa Bwana.
Numbers 6:18“ ‘Kisha kwenye ingilio la Hema la Kukutania, Mnadhiri ni lazima anyoe nywele zake ambazo alikuwa ameziweka wakfu. Atazichukua hizo nywele na kuziweka ndani ya moto ulio chini ya dhabihu ya sadaka ya amani.
This Verse In Other Editions
Study Numbers 6:4