Numbers 6:3
ni lazima ajitenge na mvinyo na kinywaji kingine chochote chenye chachu, na kamwe asinywe siki itokanayo na mvinyo au itokanayo na kinywaji kingine chenye chachu. Kamwe asinywe maji ya zabibu wala kula zabibu mbichi au kavu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Judges 13:4Lakini ujihadhari sana usinywe mvinyo wala kileo kingine chochote, wala usile kitu chochote kilicho najisi,
Proverbs 31:4“Ee Lemueli, haifai wafalme, 2 haifai wafalme kunywa mvinyo, 2 haifai watawala kutamani sana kileo, 1
Amos 2:12“Lakini mliwafanya Wanadhiri kunywa mvinyo 2 na kuwaamuru manabii wasitoe unabii. 1
Luke 7:33Kwa maana Yohana Mbatizaji alikuja, alikuwa hali mkate wala hanywi divai, nanyi mkasema, ‘Yeye ana pepo mchafu.’
Ephesians 5:18Pia msilewe kwa mvinyo, ambamo ndani yake mna upotovu, bali mjazwe Roho.
1 Timothy 5:23Acha kunywa maji peke yake, tumia divai kidogo kwa sababu ya tumbo lako na maumivu yako ya mara kwa mara.