Hesabu 7:84
Hizi ndizo zilikuwa sadaka za viongozi wa Israeli madhabahu yalipowekwa wakfu, wakati yalitiwa mafuta: sahani kumi na mbili za fedha, bakuli kumi na mbili za fedha za kunyunyizia, na masinia kumi na mawili ya dhahabu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Numbers 7:10Wakati madhabahu yalitiwa mafuta, viongozi walileta sadaka zao kwa ajili ya kule kuwekwa wakfu kwake na kuziweka mbele ya madhabahu.
Ezra 2:68Walipofika kwenye nyumba ya Bwana huko Yerusalemu, baadhi ya viongozi wa jamaa walitoa sadaka za hiari kwa ajili ya kujenga upya nyumba ya Mungu katika eneo lake.
Isaiah 60:6Makundi ya ngamia yatajaa katika nchi yako, 2 ngamia vijana wa Midiani na Efa. 1 Nao wote watokao Sheba watakuja, 2 wakichukua dhahabu na uvumba 2 na kutangaza sifa za Bwana. 1
Revelation 21:14Ukuta wa huo mji ulikuwa na misingi kumi na miwili, na juu yake yaliandikwa majina ya wale mitume kumi na wawili wa Mwana-Kondoo.