Numbers 9:5
nao wakafanya hivyo kwenye Jangwa la Sinai wakati wa kuzama jua siku ya kumi na nne ya mwezi wa kwanza. Waisraeli wakafanya kila kitu kama vile Bwana alivyomwamuru Mose.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
4Hivyo Mose akawaambia Waisraeli waiadhimishe Pasaka,
Cross References
Genesis 6:22Noa akafanya kila kitu kama vile Mungu alivyomwamuru.
Exodus 12:1Bwana akamwambia Mose na Aroni katika nchi ya Misri,
Exodus 39:32Kwa hiyo kazi yote ya maskani, Hema la Kukutania ikakamilika. Waisraeli wakafanya kila kitu sawasawa kama vile Bwana alivyomwagiza Mose.
Numbers 1:54Waisraeli walifanya yote haya sawasawa kama Bwana alivyomwamuru Mose.
Numbers 29:40Mose akawaambia Waisraeli yale yote Bwana alimwagiza.
Deuteronomy 4:5Tazama, nimewafundisha amri na sheria kama Bwana Mungu wangu alivyoniamuru mimi, ili mzifuate katika nchi mnayoiingia kuimiliki.