Obadiah 1:13
Usingeingia katika malango ya watu wangu 2 katika siku ya maafa yao, 1 wala kuwadharau katika janga lao 2 katika siku ya maafa yao, 1 wala kunyangʼanya mali zao 2 katika siku ya maafa yao. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Job 31:29“Kama nimeshangilia msiba wa adui yangu, 2 au kutazama kwa furaha taabu iliyomjia, 1
Ezekiel 35:5“ ‘Kwa sababu ulificha moyoni uadui wa siku nyingi nawe ukawatoa Waisraeli wauawe kwa upanga wakati wa maafa yao, wakati adhabu yake ilipofikia kilele chake,
Zechariah 1:15lakini nimeyakasirikia sana mataifa yanayojisikia kuwa yako salama. Nilikuwa nimewakasirikia Israeli kidogo tu, lakini mataifa hayo yaliwazidishia maafa.’