The Bible Software
bible.softwareObadiaObadia 1 › Obadia 1:11

Obadia 1:11

Siku ile ulisimama mbali ukiangalia 2 wakati wageni walipojichukulia utajiri wake 1 na watu wa nchi nyingine walipoingia malango yake 2 wakipiga kura kwa ajili ya Yerusalemu, 2 ulikuwa kama mmoja wao. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

In the day that thou stoodest on the other side, in the day that the strangers carried away captive his forces, and foreigners entered into his gates, and cast lots upon Jerusalem, even thou wast as one of them.

In Context

10Kwa sababu ya jeuri uliyofanya dhidi ya ndugu yako Yakobo, 2 aibu itakufunika; 2 utaangamizwa milele. 1

12Usingemdharau ndugu yako 2 katika siku ya msiba wake, 1 wala kufurahia juu ya watu wa Yuda 2 katika siku ya maangamizi yao, 1 wala kujigamba sana 2 katika siku ya taabu yao. 1

Read all of Obadia 1

Cross References

2 Kings 25:11Nebuzaradani jemadari wa askari walinzi akawapeleka uhamishoni watu waliokuwa wamebaki katika mji, pamoja na mabaki ya watu wa kawaida, na wale waliojisalimisha kwa mfalme wa Babeli.

Psalms 137:7Kumbuka, Ee Bwana, walichokifanya Waedomu, 2 siku ile Yerusalemu ilipoanguka. 1 Walisema, “Bomoa, Bomoa 2 mpaka kwenye misingi yake!” 1

Joel 3:3Wanawapigia kura watu wangu 2 na kuwauza wavulana ili kupata makahaba; 1 waliwauza wasichana 2 ili wapate kunywa mvinyo.

Zephaniah 2:10Hiki ndicho watarudishiwa kwa ajili ya kiburi chao, 2 kwa kutukana na kudhihaki 2 watu wa Bwana Mwenye Nguvu Zote. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Obadia 1:11

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Obadia 1:10Obadia 1Obadia 1:12 →