The Bible Software
bible.softwareObadiaObadia 1 › Obadia 1:14

Obadia 1:14

Usingengoja kwenye njia panda 2 na kuwaua wakimbizi wao, 1 wala kuwatoa watu wake waliosalia 2 katika siku ya shida yao. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Neither shouldest thou have stood in the crossway, to cut off those of his that did escape; neither shouldest thou have delivered up those of his that did remain in the day of distress.

In Context

13Usingeingia katika malango ya watu wangu 2 katika siku ya maafa yao, 1 wala kuwadharau katika janga lao 2 katika siku ya maafa yao, 1 wala kunyangʼanya mali zao 2 katika siku ya maafa yao. 1

15“Siku ya Bwana iko karibu 2 kwa mataifa yote. 1 Kama ulivyofanya, nawe utafanyiwa vivyo hivyo, 2 matendo yako yatakurudia juu ya kichwa chako. 1

Read all of Obadia 1

Cross References

Psalms 31:8Hukunikabidhi kwa adui yangu 2 bali umeiweka miguu yangu mahali penye nafasi. 1

Jeremiah 30:7Tazama jinsi ile siku itakavyokuwa ya kutisha! 2 Hakutakuwa na nyingine mfano wake. 1 Utakuwa wakati wa dhiki kwa Yakobo, 2 lakini ataokolewa kutoka hiyo. 1

Amos 1:9Hili ndilo asemalo Bwana: 1 “Kwa dhambi tatu za Tiro, 2 hata kwa dhambi nne, sitaizuia ghadhabu yangu. 1 Kwa sababu ameuza jumuiya nzima ya mateka kwa Edomu, 2 na kutokujali mapatano ya undugu, 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Obadia 1:14

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Obadia 1:13Obadia 1Obadia 1:15 →