Philemon 1:19
Ni mimi Paulo, ninayeandika waraka huu kwa mkono wangu mwenyewe. Nitakulipa. Sitaji kwamba nakudai hata nafsi yako.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
18Kama amekukosea lolote au kama unamdai chochote, nidai mimi.
20Ndugu yangu, natamani nipate faida kwako katika Bwana, uuburudishe moyo wangu katika Kristo.
Cross References
1 Corinthians 4:15Hata kama mnao walimu 10,000 katika Kristo, lakini hamna baba wengi. Mimi nilikuwa baba yenu katika Kristo Yesu kwa kuwaletea Injili.
1 Corinthians 16:21Mimi, Paulo, naandika salamu hizi kwa mkono wangu mwenyewe.
Galatians 5:2Sikilizeni! Mimi, Paulo, nawaambieni kwamba kama mkikubali kutahiriwa, basi Kristo hatawafaidia chochote.
1 Timothy 1:2Kwa Timotheo, mwanangu halisi katika imani: Neema, rehema na amani itokayo kwa Mungu Baba na kwa Kristo Yesu Bwana wetu. 1 Maonyo Dhidi Ya Walimu Wa Uongo
James 5:19Ndugu zangu, yeyote miongoni mwenu akipotoka na kuicha kweli, naye akarejezwa na mtu mwingine,