1 Corinthians 16:21
Mimi, Paulo, naandika salamu hizi kwa mkono wangu mwenyewe.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The salutation of me Paul with mine own hand.
In Context
20Ndugu wote walioko hapa wanawasalimu. Salimianeni kwa busu takatifu.
Cross References
Romans 16:22Mimi, Tertio, niliye mwandishi wa waraka huu, nawasalimu katika Bwana.
Colossians 4:18Mimi, Paulo, naandika salamu hizi kwa mkono wangu mwenyewe. Kumbukeni minyororo yangu. Neema iwe nanyi. Amen.
Philemon 1:19Ni mimi Paulo, ninayeandika waraka huu kwa mkono wangu mwenyewe. Nitakulipa. Sitaji kwamba nakudai hata nafsi yako.