Philemon 1:2
kwa dada yetu mpendwa Afia, kwa Arkipo askari mwenzetu na kwa kanisa lile likutanalo nyumbani mwako:
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And to our beloved Apphia, and Archippus our fellowsoldier, and to the church in thy house:
In Context
3Neema iwe nanyi na amani itokayo kwa Mungu Baba yetu na Bwana Yesu Kristo. 1 Shukrani Na Maombi
Cross References
Romans 16:5Lisalimuni pia kanisa linalokutana nyumbani mwao. 1 Msalimuni rafiki yangu mpendwa Epaineto, aliyekuwa mtu wa kwanza kumwamini Kristo huko Asia. 1
Philippians 2:25Lakini nadhani ni muhimu kumtuma tena kwenu Epafrodito, ndugu yangu na mtendakazi pamoja nami, aliye askari mwenzangu, ambaye pia ni mjumbe wenu mliyemtuma ili ashughulike na mahitaji yangu.
Colossians 4:17Mwambieni Arkipo hivi: “Hakikisha kuwa unakamilisha ile huduma uliyopokea katika Bwana.”