Wafilipi 1:5
kwa sababu ya kushiriki kwenu katika kueneza Injili, tangu siku ya kwanza hadi leo.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
For your fellowship in the gospel from the first day until now;
In Context
4Katika maombi yangu yote daima nimekuwa nikiwaombea ninyi nyote kwa furaha,
Cross References
Acts 16:12Kutoka huko tukasafiri hadi Filipi, mji mkuu wa jimbo hilo la Makedonia, uliokuwa koloni ya Warumi. Nasi tukakaa huko siku kadhaa.
Romans 12:13Changieni katika mahitaji ya watakatifu, wakaribisheni wageni.
1 Corinthians 1:9Mungu ambaye mmeitwa naye ili mwe na ushirika na Mwanawe Yesu Kristo, Bwana wetu ni mwaminifu. 1 Mgawanyiko Ndani Ya Kanisa
Ephesians 2:19Hivyo basi, ninyi sasa si wageni tena wala wapitaji, bali mmekuwa wenyeji pamoja na watakatifu na pia jamaa wa nyumbani mwake Mungu.
Philippians 1:7Ni haki na ni wajibu wangu kufikiri hivi juu yenu nyote, kwa sababu ninyi mko moyoni mwangu. Ikiwa nimefungwa au nikiwa ninaitetea na kuithibitisha Injili, ninyi nyote mnashiriki neema ya Mungu pamoja nami.
Philippians 4:14Lakini, mlifanya vyema kushiriki nami katika taabu zangu.