Philippians 2:24
Nami mwenyewe ninatumaini katika Bwana kwamba nitakuja kwenu hivi karibuni. 1 Paulo Amsifu Epafrodito
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
But I trust in the Lord that I also myself shall come shortly.
In Context
23Kwa hiyo, ninatumaini kumtuma kwenu upesi mara nitakapojua mambo yangu yatakavyokuwa.
Cross References
Philippians 1:25Kwa kuwa nina matumaini haya, ninajua kwamba nitaendelea kuwepo na kuwa pamoja nanyi nyote, ili mpate kukua na kuwa na furaha katika imani.
Philemon 1:22Jambo moja zaidi: Niandalie chumba cha wageni, kwa kuwa nataraji kurudishwa kwenu kama jibu la maombi yenu. 1 Salamu Za Mwisho Na Dua Ya Kuwatakia Heri
3 John 1:14Badala yake, nataraji kukuona upesi, nasi tutaongea pamoja ana kwa ana.