Proverbs 15:33
Kumcha Bwana humfundisha mtu hekima, 2 nao unyenyekevu huja kabla ya heshima.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The fear of the LORD is the instruction of wisdom; and before honour is humility.
In Context
32Yeye anayedharau maonyo hujidharau mwenyewe, 2 bali yeyote anayekubali maonyo hupata ufahamu. 1
Cross References
Job 28:28Naye Mungu akamwambia mwanadamu, 2 ‘Kumcha Bwana: hiyo ndiyo hekima, 2 nako kujitenga na uovu ndio ufahamu.’ ”
Psalms 111:10Kumcha Bwana ndicho chanzo cha hekima, 2 wote wanaozifuata amri zake wana busara. 2 Sifa zake zadumu milele.
Proverbs 8:13Kumcha Bwana ni kuchukia uovu; 2 ninachukia kiburi na majivuno, 2 tabia mbaya na mazungumzo potovu. 1
Proverbs 25:6Usijikweze mwenyewe mbele ya mfalme, 2 wala usidai nafasi miongoni mwa watu wakuu; 1
Luke 14:11Kwa maana kila mtu ajikwezaye atashushwa, naye ajishushaye atakwezwa.”
James 4:10Jinyenyekezeni mbele za Bwana, naye atawainua. 1 Onyo Kuhusu Kuhukumu Wengine