Philippians 2:7
bali alijifanya si kitu, 2 akachukua hali hasa na mtumwa, 2 naye akazaliwa katika umbo la mwanadamu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
8Naye akiwa na umbo la mwanadamu, 2 alijinyenyekeza, akatii hata mauti: 2 naam, mauti ya msalaba! 1
Cross References
Isaiah 42:1“Huyu hapa mtumishi wangu, ninayemtegemeza, 2 mteule wangu, ambaye ninapendezwa naye; 1 nitaweka Roho yangu juu yake, 2 naye ataleta haki kwa mataifa. 1
Isaiah 49:6yeye asema: 1 “Je, ni jambo dogo sana wewe kuwa mtumishi wangu 2 ili kurejeza makabila ya Yakobo, 2 na kuwarudisha wale Waisraeli niliowahifadhi? 1 Pia nitakufanya uwe nuru kwa ajili ya watu wa Mataifa, 2 ili upate kuleta wokovu wangu hata miisho ya dunia.” 1
Isaiah 52:13Tazama, mtumishi wangu atatenda kwa hekima; 2 atatukuzwa, na kuinuliwa juu, na kukwezwa sana. 1
Isaiah 53:11Baada ya maumivu ya nafsi yake, 2 ataona nuru ya uzima na kuridhika; 1 kwa maarifa yake, mtumishi wangu mwenye haki 2 atawafanya wengi kuwa wenye haki, 2 naye atayachukua maovu yao. 1
Daniel 9:26Baada ya majuma sitini na mawili, Mpakwa Mafuta atakatiliwa mbali, wala hatabaki na kitu. Watu wa mtawala atakayekuja watauharibu mji pamoja na mahali patakatifu. Mwisho utakuja kama mafuriko: Vita vitaendelea mpaka mwisho, nao ukiwa umeamriwa.
Zechariah 9:9Shangilia sana, ee Binti Sayuni! 2 Piga kelele, Binti Yerusalemu! 1 Tazama, Mfalme wako anakuja kwako, 2 ni mwenye haki, naye ana wokovu, 2 ni mpole, naye amepanda punda, 2 mwana-punda, mtoto wa punda. 1