The Bible Software
bible.softwarePhilippiansPhilippians 4 › Philippians 4:21

Philippians 4:21

Msalimuni kila mtakatifu katika Kristo Yesu. Ndugu walioko pamoja nami wanawasalimu.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Salute every saint in Christ Jesus. The brethren which are with me greet you.

In Context

20Mungu wetu aliye Baba yetu apewe utukufu milele na milele. Amen. 1 Salamu Za Mwisho

22Watakatifu wote wanawasalimu, hasa wale watu wa nyumbani mwa Kaisari.

Read all of Philippians 4

Cross References

Romans 16:21Timotheo, mtendakazi mwenzangu anawasalimu. Vivyo hivyo Lukio, Yasoni, na Sosipatro, ndugu zangu.

Galatians 1:2na ndugu wote walio pamoja nami: Kwa makanisa ya Galatia:

Ephesians 1:1Paulo, mtume wa Kristo Yesu, kwa mapenzi ya Mungu: Kwa watakatifu walioko Efeso, walio waaminifu katika Kristo Yesu:

Colossians 4:10Aristarko aliye mfungwa pamoja nami anawasalimu, vivyo hivyo Marko, binamu yake Barnaba. (Mmeshapata maagizo yanayomhusu; akija kwenu, mpokeeni.)

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Philippians 4:21

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Philippians 4:20Philippians 4Philippians 4:22 →