Wafilipi 4:22
Watakatifu wote wanawasalimu, hasa wale watu wa nyumbani mwa Kaisari.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
All the saints salute you, chiefly they that are of Caesar’s household.
In Context
21Msalimuni kila mtakatifu katika Kristo Yesu. Ndugu walioko pamoja nami wanawasalimu.
23Neema ya Bwana Yesu Kristo iwe pamoja na roho zenu. Amen.
Cross References
Acts 9:13Anania akajibu, “Bwana, nimesikia kutoka kwa watu wengi habari nyingi kuhusu mtu huyu na madhara yote aliyowatendea watakatifu wako huko Yerusalemu.
2 Corinthians 13:13Watakatifu wote wanawasalimu.
Hebrews 13:24Wasalimuni viongozi wenu wote na watakatifu wote. Wale wa kutoka Italia wanawasalimu.
3 John 1:14Badala yake, nataraji kukuona upesi, nasi tutaongea pamoja ana kwa ana.