Proverbs 1:13
Tutapata aina zote za vitu vya thamani 2 na kujaza nyumba zetu kwa nyara. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
We shall find all precious substance, we shall fill our houses with spoil:
In Context
14Njoo ushirikiane nasi, 2 vitu vyote tutakavyopata tutagawana.” 1
Cross References
Proverbs 1:19Huu ndio mwisho wa wote ambao wanajipatia mali kwa hila; 2 huuondoa uhai wa wale wenye mali. 1 Onyo Dhidi Ya Kukataa Hekima 1
Jeremiah 22:16Aliwatetea maskini na wahitaji, 2 hivyo yeye akafanikiwa katika yote. 1 Je, hiyo si ndiyo maana ya kunijua mimi?” 2 asema Bwana. 1
Amos 3:10Bwana asema: “Hawajui kutenda lililo jema, 2 wale ambao hujilundikia nyara 2 na vitu vilivyotekwa katika ngome zao.”
Haggai 2:9‘Utukufu wa nyumba hii ya sasa utakuwa mkubwa kuliko utukufu wa ile nyumba ya mwanzoni,’ asema Bwana Mwenye Nguvu Zote. ‘Na mahali hapa nitawapa amani,’ asema Bwana Mwenye Nguvu Zote.” 1 Baraka Kwa Watu Waliotiwa Unajisi
1 Timothy 6:9Lakini wale watu wanaotamani kuwa na mali kwa haraka huanguka kwenye majaribu, na wamenaswa na tamaa nyingi za kipumbavu zenye kudhuru, zinazowazamisha watu katika uharibifu na maangamizi.