The Bible Software
bible.softwareAmosAmos 3 › Amos 3:10

Amos 3:10

Bwana asema: “Hawajui kutenda lililo jema, 2 wale ambao hujilundikia nyara 2 na vitu vilivyotekwa katika ngome zao.”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

For they know not to do right, saith the LORD, who store up violence and robbery in their palaces.

In Context

9Tangazeni katika ngome za Ashdodi 2 na katika ngome za Misri: 1 “Kusanyikeni juu ya milima ya Samaria; 2 angalieni wingi wa wasiwasi ulio ndani yake, 2 na uonevu ulio miongoni mwa watu wake.” 1

11Kwa hiyo hili ndilo asemalo Bwana Mwenyezi: 1 “Adui ataizingira nchi; 2 ataangusha chini ngome zenu 2 na kuteka nyara maboma yenu.”

Read all of Amos 3

Cross References

Psalms 14:4Je, watendao mabaya kamwe hawatajifunza: 2 wale ambao huwala watu wangu 1 kama watu walavyo mkate, 2 hao ambao hawamwiti Bwana? 1

Proverbs 11:16Mwanamke mwenye moyo wa huruma hupata heshima, 2 bali wanaume wakorofi hupata mali tu. 1

Ecclesiastes 4:1Nikatazama tena nikaona uonevu wote uliokuwa unafanyika chini ya jua: 1 Nikaona machozi ya walioonewa, 2 wala hawana wa kuwafariji; 1 uwezo ulikuwa upande wa wale wanaowaonea, 2 wala hawana wa kuwafariji. 1

Jeremiah 5:4Ndipo nikasema, “Hawa ni maskini tu; 2 wao ni wapumbavu, 1 kwa maana hawaijui njia ya Bwana, 2 sheria ya Mungu wao. 1

Amos 4:1Sikilizeni neno hili, ninyi ngʼombe wa Bashani 2 mlioko juu ya Mlima Samaria, 1 ninyi wanawake mnaowaonea maskini, 2 na kuwagandamiza wahitaji, 1 na kuwaambia wanaume wenu, 2 “Tuleteeni vinywaji!” 1

Amos 6:3Mnaiweka mbali siku iliyo mbaya 2 na kuleta karibu utawala wa kuogofya. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Amos 3:10

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Amos 3:9Amos 3Amos 3:11 →