Proverbs 1:21
kwenye makutano ya barabara za mji 2 zenye makelele mengi hupaza sauti, 2 kwenye malango ya mji hutoa hotuba yake: 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
20Hekima huita kwa sauti kuu barabarani, 2 hupaza sauti yake kwenye viwanja vikubwa; 1
Cross References
Proverbs 8:3kando ya malango yaelekeayo mjini, 2 kwenye maingilio, hulia kwa sauti kubwa, akisema: 1
Matthew 10:27Ninalowaambia gizani, ninyi lisemeni mchana peupe. Na lile mnalosikia likinongʼonwa masikioni mwenu, lihubirini juu ya nyumba.
John 18:20Yesu akamjibu, “Nimekuwa nikizungumza waziwazi mbele ya watu wote. Siku zote nimefundisha katika masinagogi na Hekaluni, mahali ambapo Wayahudi wote hukusanyika. Sikusema jambo lolote kwa siri.