Proverbs 1:29
Kwa kuwa walichukia maarifa, 2 wala hawakuchagua kumcha Bwana, 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
For that they hated knowledge, and did not choose the fear of the LORD:
In Context
28“Ndipo watakaponiita lakini sitawajibu; 2 watanitafuta lakini hawatanipata. 1
30kwa kuwa hawakukubali mashauri yangu, 2 na kukataa maonyo yangu, 1
Cross References
Job 21:14Lakini humwambia Mungu, ‘Tuache sisi!’ 2 Hatuna haja ya kufahamu njia zako. 1
Psalms 50:17Unachukia mafundisho yangu 2 na kuyatupa maneno yangu nyuma yako. 1
Proverbs 5:12Utasema, “Tazama jinsi gani nilivyochukia adhabu! 2 Tazama jinsi moyo wangu ulivyodharau maonyo! 1
Isaiah 27:11Wakati vijiti vyake vimekauka, huvunjwa 2 nao wanawake huja na kuwasha navyo moto. 1 Kwa kuwa hili ni taifa lisilo na ufahamu, 2 kwa hiyo yeye aliyewafanya hana huruma juu yao, 2 Muumba wao hawaonyeshi fadhili.
Luke 10:42Lakini kunahitajika kitu kimoja tu. Maria amechagua kile kilicho bora, wala hakuna mtu atakayemwondolea.”
Acts 7:51“Enyi watu wenye shingo ngumu, msiotahiriwa mioyo wala masikio, daima hamwachi kumpinga Roho Mtakatifu, kama walivyofanya baba zenu.