Proverbs 1:3
kwa kujipatia nidhamu na busara, 2 kufanya lililo sawa, haki na bila kupendelea; 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
To receive the instruction of wisdom, justice, and judgment, and equity;
In Context
2Kwa kupata hekima na nidhamu; 2 kwa kufahamu maneno ya busara; 1
4huwapa busara wajinga, 2 maarifa na akili kwa vijana; 1
Cross References
1 Kings 3:28Wakati Israeli yote iliposikia hukumu aliyotoa mfalme, wakamwogopa mfalme, kwa sababu waliona kuwa alikuwa na hekima kutoka kwa Mungu kwa kutoa haki.
Proverbs 2:1Mwanangu, kama utayakubali maneno yangu 2 na kuyaweka akiba maagizo yangu ndani mwako, 1
Proverbs 8:10Chagua mafundisho yangu badala ya fedha, 2 maarifa badala ya dhahabu safi, 1
Ecclesiastes 12:10Mhubiri alitafiti ili kupata maneno sahihi na kila alichoandika kilikuwa sawa na kweli.