Proverbs 1:2
Kwa kupata hekima na nidhamu; 2 kwa kufahamu maneno ya busara; 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
To know wisdom and instruction; to perceive the words of understanding;
In Context
1Mithali za Solomoni mwana wa Daudi, mfalme wa Israeli: 1
3kwa kujipatia nidhamu na busara, 2 kufanya lililo sawa, haki na bila kupendelea; 1
Cross References
Deuteronomy 4:5Tazama, nimewafundisha amri na sheria kama Bwana Mungu wangu alivyoniamuru mimi, ili mzifuate katika nchi mnayoiingia kuimiliki.
Proverbs 2:9Ndipo utafahamu lipi lililo kweli na haki 2 na sawa: yaani kila njia nzuri. 1
Proverbs 4:5Pata hekima, pata ufahamu; 2 usiyasahau maneno yangu wala usiyaache. 1
Proverbs 8:5Ninyi ambao ni wajinga, pateni akili; 2 ninyi mlio wapumbavu, pateni ufahamu. 1
Proverbs 16:16Ni bora kiasi gani kupata hekima kuliko dhahabu, 2 kuchagua ufahamu kuliko fedha! 1
Proverbs 19:20Sikiliza mashauri na ukubali mafundisho, 2 nawe mwishoni utakuwa na hekima. 1