Proverbs 1:4
huwapa busara wajinga, 2 maarifa na akili kwa vijana; 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
To give subtilty to the simple, to the young man knowledge and discretion.
In Context
3kwa kujipatia nidhamu na busara, 2 kufanya lililo sawa, haki na bila kupendelea; 1
5wenye hekima na wasikilize nao waongeze elimu yao, 2 wenye kupambanua na wapate mwongozo; 1
Cross References
Psalms 19:7Sheria ya Bwana ni kamilifu, 2 ikihuisha nafsi. 1 Shuhuda za Bwana ni za kuaminika, 2 zikimpa mjinga hekima. 1
Psalms 119:9Kijana aifanye njia yake kuwa safi jinsi gani? 2 Ni kwa kutii, akilifuata neno lako. 1
Proverbs 1:22“Enyi wajinga, mtangʼangʼania ujinga wenu hadi lini? 2 Mpaka lini wenye mizaha watafurahia mizaha, 2 na wapumbavu kuchukia maarifa? 1
Proverbs 3:21Mwanangu, hifadhi maamuzi mema na busara, 2 usiache vitoke machoni pako; 1
Proverbs 8:5Ninyi ambao ni wajinga, pateni akili; 2 ninyi mlio wapumbavu, pateni ufahamu. 1
Proverbs 8:17Nawapenda wale wanipendao, 2 na wale wanitafutao kwa bidii wataniona. 1