Proverbs 8:32
“Basi sasa wanangu, nisikilizeni; 2 heri wale wanaozishika njia zangu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Now therefore hearken unto me, O ye children: for blessed are they that keep my ways.
In Context
31nikifurahi katika dunia yake yote 2 nami nikiwafurahia wanadamu. 1
33Sikilizeni mafundisho yangu mwe na hekima; 2 msiyapuuze. 1
Cross References
Psalms 1:1Heri mtu yule ambaye 2 haendi katika shauri la watu waovu, 1 wala hasimami katika njia ya wenye dhambi, 2 au kuketi katika baraza la wenye mizaha. 1
Psalms 128:1Heri ni wale wote wamchao Bwana, 2 waendao katika njia zake. 1
Proverbs 5:7Sasa basi wanangu, nisikilizeni; 2 msiache ninalowaambia. 1
Luke 11:28Yesu akajibu, “Wamebarikiwa zaidi wale wanaolisikia neno la Mungu na kulitii.” 1 Ishara Ya Yona (Mathayo 12:38-42)