Isaiah 32:17
Matunda ya haki yatakuwa amani, 2 matokeo ya haki yatakuwa utulivu 2 na matumaini milele. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
16Haki itakaa katika jangwa, 2 na uadilifu utakaa katika shamba lenye rutuba. 1
Cross References
Esther 9:30Naye Mordekai akatuma barua kwa Wayahudi wote katika majimbo 127 ya ufalme wa Ahasuero, barua zenye maneno ya amani na matumaini,
Psalms 72:3Milima italeta mafanikio kwa watu, 2 vilima tunda la haki. 1
Psalms 112:6Hakika hatatikisika kamwe, 2 mtu mwenye haki atakumbukwa milele. 1
Proverbs 1:33Lakini yeyote anisikilizaye ataishi kwa usalama, 2 atatulia, bila kuwa na hofu ya madhara.”
Isaiah 2:3Mataifa mengi yatakuja na kusema, 1 “Njooni, twendeni mlimani mwa Bwana, 2 kwenye nyumba ya Mungu wa Yakobo. 1 Atatufundisha njia zake, 2 ili tuweze kuenenda katika mapito yake.” 1 Sheria itatoka Sayuni, 2 neno la Bwana litatoka Yerusalemu. 1
Isaiah 11:6Mbwa mwitu ataishi pamoja na mwana-kondoo, 2 naye chui atalala pamoja na mbuzi, 1 ndama, mwana simba na ngʼombe wa mwaka mmoja watakaa pamoja, 2 naye mtoto mdogo atawaongoza. 1