The Bible Software
bible.softwareProverbsProverbs 1 › Proverbs 1:5

Proverbs 1:5

wenye hekima na wasikilize nao waongeze elimu yao, 2 wenye kupambanua na wapate mwongozo; 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

A wise man will hear, and will increase learning; and a man of understanding shall attain unto wise counsels:

In Context

4huwapa busara wajinga, 2 maarifa na akili kwa vijana; 1

6kwa kufahamu mithali na mifano, 2 misemo na vitendawili vya wenye hekima. 1

Read all of Proverbs 1

Cross References

1 Samuel 25:32Daudi akamwambia Abigaili, “Ahimidiwe Bwana, Mungu wa Israeli aliyekutuma kunilaki leo.

Job 34:2“Sikieni maneno yangu, enyi watu wenye hekima; 2 nisikilizeni mimi, ninyi watu wenye maarifa. 1

Job 34:16“Kama ninyi mnaufahamu, sikieni hili; 2 sikilizeni hili nisemalo. 1

Psalms 119:98Amri zako zimenipa hekima zaidi kuliko adui zangu, 2 kwa kuwa nimezishika daima. 1

Proverbs 9:8Usimkemee mwenye mzaha la sivyo atakuchukia; 2 mkemee mwenye hekima naye atakupenda. 1

Proverbs 12:1Yeyote apendaye kuadibishwa hupenda maarifa, 2 bali yeye achukiaye kuonywa ni mpumbavu. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Proverbs 1:5

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Proverbs 1:4Proverbs 1Proverbs 1:6 →