Proverbs 10:15
Mali ya tajiri ni mji wake wenye ngome, 2 bali ufukara ni maangamizi ya maskini. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The rich man’s wealth is his strong city: the destruction of the poor is their poverty.
In Context
14Wenye hekima huhifadhi maarifa, 2 bali kinywa cha mpumbavu hualika maangamizi. 1
16Ujira wa wenye haki huwaletea uzima, 2 lakini mapato ya waovu huwaletea adhabu. 1
Cross References
Job 31:24“Kama nimeweka tumaini langu kwenye dhahabu, 2 au kuiambia dhahabu safi, ‘Wewe ndiwe salama yangu,’ 1
Psalms 52:7“Huyu ni yule mtu ambaye 2 hakumfanya Mungu kuwa ngome yake, 1 bali alitumainia wingi wa utajiri wake, 2 na akawa hodari kwa kuwaangamiza wengine!” 1 Neema Ya Mungu 1
Proverbs 18:11Mali ya tajiri ni mji wake wenye ngome, 2 wanaudhania kuwa ukuta usioweza kurukwa. 1
Proverbs 22:22Usiwadhulumu maskini kwa sababu ni maskini, 2 wala kumdhulumu mhitaji mahakamani, 1
Jeremiah 9:23Hili ndilo asemalo Bwana: 1 “Mwenye hekima asijisifu katika hekima yake, 2 au mwenye nguvu ajisifu katika nguvu zake, 2 wala tajiri ajisifu katika utajiri wake, 1
Mark 10:24Wanafunzi wake wakashangazwa sana na maneno hayo. Lakini Yesu akawaambia tena, “Wanangu, tazama jinsi ilivyo vigumu kwa wale wanaotumainia mali kuingia katika Ufalme wa Mungu.