The Bible Software
bible.softwareProverbsProverbs 10 › Proverbs 10:14

Proverbs 10:14

Wenye hekima huhifadhi maarifa, 2 bali kinywa cha mpumbavu hualika maangamizi. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Wise men lay up knowledge: but the mouth of the foolish is near destruction.

In Context

13Hekima hupatikana katika midomo ya wenye kupambanua, 2 lakini fimbo ni kwa ajili ya mgongo wake asiye na ufahamu. 1

15Mali ya tajiri ni mji wake wenye ngome, 2 bali ufukara ni maangamizi ya maskini. 1

Read all of Proverbs 10

Cross References

Proverbs 9:9Mfundishe mtu mwenye hekima 2 naye atakuwa na hekima zaidi; 1 mfundishe mtu mwadilifu 2 naye atazidi kufundishika. 1

Proverbs 10:10Yeye akonyezaye kwa nia mbaya husababisha huzuni, 2 naye mpumbavu apayukaye huangamia. 1

Proverbs 17:20Mtu mwenye moyo mpotovu hawezi kufanikiwa; 2 naye ambaye ulimi wake ni mdanganyifu huanguka kwenye taabu. 1

Proverbs 18:7Kinywa cha mpumbavu ni uharibifu wake 2 na midomo yake ni mtego kwa nafsi yake. 1

Proverbs 19:8Yeye apataye hekima huipenda nafsi yake mwenyewe, 2 yeye ahifadhiye ufahamu hustawi. 1

Matthew 12:35Mtu mwema hutoa yaliyo mema kutoka hazina ya mambo mema yaliyohifadhiwa ndani yake, naye mtu mwovu hutoa yaliyo maovu kutoka hazina ya mambo maovu yaliyohifadhiwa ndani yake.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Proverbs 10:14

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Proverbs 10:13Proverbs 10Proverbs 10:15 →