Proverbs 18:11
Mali ya tajiri ni mji wake wenye ngome, 2 wanaudhania kuwa ukuta usioweza kurukwa. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The rich man’s wealth is his strong city, and as an high wall in his own conceit.
In Context
10Jina la Bwana ni ngome imara, 2 wenye haki huikimbilia na kuwa salama. 1
12Kabla ya anguko moyo wa mtu hujaa kiburi, 2 bali unyenyekevu hutangulia heshima. 1
Cross References
Deuteronomy 32:31Kwa kuwa mwamba wao si kama Mwamba wetu, 2 sawasawa na vile adui zetu wanavyokiri. 1
Psalms 49:6wale wanaotegemea mali zao 2 na kujivunia utajiri wao mwingi? 1
Psalms 52:5Hakika Mungu atakushusha chini 2 kwa maangamizi ya milele: 1 atakunyakua na kukuondoa kwa nguvu 2 kutoka hema yako, 2 atakungʼoa kutoka nchi ya walio hai. 1
Proverbs 10:15Mali ya tajiri ni mji wake wenye ngome, 2 bali ufukara ni maangamizi ya maskini. 1
Proverbs 28:11Mtu tajiri anaweza kuwa na hekima machoni pake mwenyewe, 2 bali mtu maskini mwenye ufahamu atamfichua. 1
Jeremiah 9:22Sema, “Hili ndilo asemalo Bwana: 1 “ ‘Maiti za wanaume zitalala 2 kama mavi katika mashamba, 1 kama malundo ya nafaka nyuma ya mvunaji, 2 wala hakuna anayekusanya.’ ”