The Bible Software
bible.softwareProverbsProverbs 10 › Proverbs 10:23

Proverbs 10:23

Mpumbavu hufurahia tabia mbaya, 2 lakini mtu mwenye ufahamu hupendezwa na hekima. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

It is as sport to a fool to do mischief: but a man of understanding hath wisdom.

In Context

22Baraka ya Bwana hutajirisha, 2 wala haichanganyi huzuni. 1

24Kile anachoogopa mwovu ndicho kitakachompata; 2 kile anachoonea shauku mwenye haki atapewa. 1

Read all of Proverbs 10

Cross References

Proverbs 2:14wale wapendao kutenda mabaya 2 na kufurahia upotovu wa ubaya, 1

Proverbs 15:21Upumbavu humfurahisha mtu ambaye hana akili, 2 bali mtu mwenye ufahamu hushika njia iliyonyooka. 1

Proverbs 26:18Kama mtu mwendawazimu 2 atupaye vijinga vya moto au mishale ya kufisha, 1

Ecclesiastes 11:9Furahi ewe kijana, wakati ungali kijana, 2 moyo wako na ukupe furaha 2 katika siku za ujana wako. 1 Fuata njia za moyo wako 2 na chochote macho yako yaonayo, 1 lakini ujue kwamba kwa ajili ya haya yote 2 Mungu atakuleta hukumuni. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Proverbs 10:23

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Proverbs 10:22Proverbs 10Proverbs 10:24 →