Proverbs 10:24
Kile anachoogopa mwovu ndicho kitakachompata; 2 kile anachoonea shauku mwenye haki atapewa. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The fear of the wicked, it shall come upon him: but the desire of the righteous shall be granted.
In Context
23Mpumbavu hufurahia tabia mbaya, 2 lakini mtu mwenye ufahamu hupendezwa na hekima. 1
25Tufani inapopita, waovu hutoweka, 2 lakini wenye haki husimama imara milele. 1
Cross References
Job 15:21Sauti za kutisha hujaa masikioni mwake; 2 katika kufanikiwa kwake, wanyangʼanyi humshambulia. 1
Psalms 37:4Jifurahishe katika Bwana 2 naye atakupa haja za moyo wako. 1
Isaiah 66:4Hivyo, mimi pia nitawachagulia mapigo makali, 2 nami nitaleta juu yao kile wanachokiogopa. 1 Kwa maana nilipoita, hakuna yeyote aliyejibu, 2 niliposema, hakuna yeyote aliyesikiliza. 1 Walifanya maovu machoni pangu 2 na kuchagua lile linalonichukiza.” 1
Daniel 4:28Haya yote yalimpata Mfalme Nebukadneza.
John 14:18Sitawaacha ninyi yatima, naja kwenu.
Hebrews 10:27Lakini kinachobaki ni kungoja kwa hofu hukumu ya moto uwakao, utakaowaangamiza adui za Mungu.