Proverbs 10:29
Njia ya Bwana ni kimbilio kwa wenye haki, 2 lakini ni maangamizi ya wale watendao mabaya. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The way of the LORD is strength to the upright: but destruction shall be to the workers of iniquity.
In Context
28Tarajio la mwenye haki ni furaha, 2 bali matumaini ya mwovu huwa si kitu. 1
30Kamwe wenye haki hawataondolewa, 2 bali waovu hawatasalia katika nchi. 1
Cross References
Psalms 1:6Kwa maana Bwana huziangalia njia za mwenye haki, 2 bali njia ya waovu itaangamia.
Psalms 37:20Lakini waovu wataangamia: 2 Adui za Bwana watakuwa 2 kama uzuri wa mashamba, 1 watatoweka, 2 watatoweka kama moshi. 1
Psalms 92:7ingawa waovu huchipua kama majani 2 na wote watendao mabaya wanastawi, 2 wataangamizwa milele. 1
Proverbs 21:15Wakati haki imetendeka, huleta furaha kwa wenye haki, 2 bali kitisho kwa watenda mabaya. 1
Zechariah 10:12Nitawaimarisha katika Bwana, 2 na katika jina lake watatembea,” 4 asema Bwana.
Luke 13:26“Ndipo mtamjibu, ‘Tulikula na kunywa pamoja nawe, tena ulifundisha katika mitaa yetu.’