Proverbs 21:15
Wakati haki imetendeka, huleta furaha kwa wenye haki, 2 bali kitisho kwa watenda mabaya. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
It is joy to the just to do judgment: but destruction shall be to the workers of iniquity.
In Context
16Mtu anayepotea kutoka mapito ya ufahamu, 2 hupumzika katika kundi la waliokufa. 1
Cross References
Psalms 40:8Ee Mungu wangu, 2 natamani kuyafanya mapenzi yako; 2 sheria yako iko ndani ya moyo wangu.” 1
Psalms 119:16Ninafurahia maagizo yako, 2 wala sitalipuuza neno lako. 2 Furaha Katika Sheria Ya Bwana 1
Proverbs 5:20Kwa nini mwanangu, utekwe na mwanamke kahaba? 2 Kwa nini ukumbatie kifua cha mke wa mwanaume mwingine? 1
Proverbs 21:12Mwenye Haki huyajua yanayotendeka katika nyumba za waovu, 2 naye atawaangamiza waovu. 1
Isaiah 64:5Uliwasaidia watu wale watendao yaliyo haki kwa furaha, 2 wale wazikumbukao njia zako. 1 Lakini wakati tulipoendelea kutenda dhambi kinyume na njia zako, 2 ulikasirika. 2 Tutawezaje basi kuokolewa? 1
Matthew 13:41Mwana wa Adamu atawatuma malaika zake, nao watakusanya kutoka Ufalme wake kila kitu kinachosababisha dhambi na watenda maovu wote.