The Bible Software
bible.softwareProverbsProverbs 10 › Proverbs 10:30

Proverbs 10:30

Kamwe wenye haki hawataondolewa, 2 bali waovu hawatasalia katika nchi. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

The righteous shall never be removed: but the wicked shall not inhabit the earth.

In Context

29Njia ya Bwana ni kimbilio kwa wenye haki, 2 lakini ni maangamizi ya wale watendao mabaya. 1

31Kinywa cha mwenye haki hutoa hekima, 2 bali ulimi wa upotovu utakatwa. 1

Read all of Proverbs 10

Cross References

Psalms 15:5Yeye akopeshaye fedha yake bila riba, 2 na hapokei rushwa dhidi ya mtu asiye na hatia. 1 Mtu afanyaye haya 2 kamwe hatatikisika.

Psalms 37:9Kwa maana waovu watakatiliwa mbali, 2 bali wale wanaomtumaini Bwana watairithi nchi. 1

Psalms 37:28Kwa kuwa Bwana huwapenda wenye haki 2 naye hatawaacha waaminifu wake. 1 Watalindwa milele, 2 lakini uzao wa waovu utakatiliwa mbali. 1

Psalms 112:6Hakika hatatikisika kamwe, 2 mtu mwenye haki atakumbukwa milele. 1

Proverbs 2:21Kwa maana wanyofu wataishi katika nchi, 2 nao wasio na lawama watabakia ndani yake. 1

Proverbs 10:25Tufani inapopita, waovu hutoweka, 2 lakini wenye haki husimama imara milele. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Proverbs 10:30

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Proverbs 10:29Proverbs 10Proverbs 10:31 →