The Bible Software
bible.softwareProverbsProverbs 10 › Proverbs 10:3

Proverbs 10:3

Bwana hawaachi waadilifu kukaa njaa, 2 lakini hupinga tamaa ya mtu mwovu. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

The LORD will not suffer the soul of the righteous to famish: but he casteth away the substance of the wicked.

In Context

2Hazina zilizopatikana kwa njia mbaya hazifai, 2 lakini uadilifu huokoa kutoka mautini. 1

4Mikono mivivu hufanya mtu kuwa maskini 2 lakini mikono yenye bidii huleta utajiri. 1

Read all of Proverbs 10

Cross References

Job 5:20Wakati wa njaa atakukomboa wewe na kifo, 2 naye katika vita atakukomboa na pigo la upanga. 1

Job 20:5macheko ya mtu mwovu ni ya muda mfupi, 2 nayo furaha ya wasiomcha Mungu hudumu kwa kitambo tu. 1

Job 20:28Mafuriko yataichukua nyumba yake, 2 maji yaendayo kasi katika siku ya ghadhabu ya Mungu. 1

Psalms 33:19ili awaokoe na mauti, 2 na kuwahifadhi wakati wa njaa. 1

Psalms 34:10Wana simba wenye nguvu 2 hutindikiwa na kuona njaa, 1 bali wale wamtafutao Bwana 2 hawatakosa kitu chochote kilicho chema. 1

Psalms 37:19Siku za maafa hawatanyauka, 2 siku za njaa watafurahia wingi wa vitu. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Proverbs 10:3

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Proverbs 10:2Proverbs 10Proverbs 10:4 →