Proverbs 10:2
Hazina zilizopatikana kwa njia mbaya hazifai, 2 lakini uadilifu huokoa kutoka mautini. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Treasures of wickedness profit nothing: but righteousness delivereth from death.
In Context
3Bwana hawaachi waadilifu kukaa njaa, 2 lakini hupinga tamaa ya mtu mwovu. 1
Cross References
Proverbs 11:4Utajiri haufaidi kitu katika siku ya ghadhabu, 2 bali haki huokoa kutoka mautini. 1
Proverbs 13:11Fedha isiyo ya halali hupungua, 2 bali yeye akusanyaye fedha kidogo kidogo huongezeka. 1
Isaiah 10:2kuwanyima maskini haki zao 2 na kuzuilia haki za watu wangu walioonewa, 1 kuwafanya wajane mawindo yao 2 na kuwanyangʼanya yatima. 1
Daniel 4:27Kwa hiyo, ee mfalme, uwe radhi kupokea shauri langu: Acha dhambi zako kwa kutenda yaliyo haki, ukaache uovu wako, na uwe na huruma kwa walioonewa. Hivyo itawezekana baada ya hayo, mafanikio yako yakaendelea.” 1 Ndoto Inatimia
Luke 12:15Ndipo Yesu akawaambia, “Jihadharini! Jilindeni na aina zote za choyo. Kwa maana maisha ya mtu hayatokani na wingi wa mali alizo nazo.”
Romans 2:5Lakini kwa sababu ya ukaidi wenu na mioyo yenu isiyotaka kutubu, mnajiwekea akiba ya ghadhabu dhidi yenu wenyewe kwa siku ile ya ghadhabu ya Mungu, wakati hukumu yake ya haki itakapodhihirishwa.