Ayubu 20:28
Mafuriko yataichukua nyumba yake, 2 maji yaendayo kasi katika siku ya ghadhabu ya Mungu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The increase of his house shall depart, and his goods shall flow away in the day of his wrath.
In Context
27Mbingu zitaweka wazi hatia yake, 2 nayo nchi itainuka kinyume chake. 1
29Hili ndilo fungu Mungu alilowagawia waovu, 2 urithi uliowekwa kwa ajili yao na Mungu.”
Cross References
2 Kings 20:17Hakika wakati unakuja ambapo vitu vyote katika jumba lako la kifalme, na vyote ambavyo baba zako waliweka akiba mpaka siku hii, vitachukuliwa kwenda Babeli. Hakuna chochote kitakachosalia, asema Bwana.
Job 20:10Watoto wake watalipa yote baba yao aliyowadhulumu maskini, 2 nayo mikono yake itarudisha mali yote aliyonyangʼanya watu. 1
Job 21:30kwamba mtu mwovu huepushwa kutoka siku ya maafa, 2 kwamba huokolewa kutoka siku ya ghadhabu? 1
Job 31:12Ni moto uwakao kwa Uharibifu; + 31:12 Kwa Kiebrania ni Abadon ( Ay 26:6; Mit 15:11 ). 2 ungekuwa umengʼoa mavuno yangu. 1
Zephaniah 1:18Fedha yao wala dhahabu yao 2 hazitaweza kuwaokoa 2 katika siku hiyo ya ghadhabu ya Bwana. 1 Katika moto wa wivu wake 2 dunia yote itateketezwa, 1 kwa maana ataleta mwisho 2 wa wote wanaoishi katika dunia ghafula.”
James 5:1Basi sikilizeni, ninyi matajiri, lieni na kuomboleza kwa ajili ya hali mbaya sana inayowajia.