The Bible Software
bible.softwareProverbsProverbs 11 › Proverbs 11:26

Proverbs 11:26

Watu humlaani mtu awanyimae watu nafaka, 2 bali baraka itamkalia kichwani kama taji 2 yeye aliye radhi kuiuza. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

He that withholdeth corn, the people shall curse him: but blessing shall be upon the head of him that selleth it.

In Context

25Mtu mkarimu atastawi; 2 yeye awaburudishaye wengine 2 ataburudishwa mwenyewe. 1

27Yeye atafutaye mema hupata ukarimu, 2 bali ubaya huja kwake yeye autafutaye. 1

Read all of Proverbs 11

Cross References

Genesis 47:14Yosefu akakusanya fedha zote zilizopatikana kutoka mauzo ya nafaka huko Misri na Kanaani, akazileta kwenye jumba la kifalme la Farao.

Proverbs 10:6Baraka huwa taji kichwani mwa mwenye haki, 2 lakini jeuri hufunika kinywa cha mwovu. 1

Proverbs 28:27Yeye ampaye maskini 2 hatapungukiwa na kitu chochote, 1 bali yeye awafumbiaye maskini macho 2 hupata laana nyingi. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Proverbs 11:26

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Proverbs 11:25Proverbs 11Proverbs 11:27 →