The Bible Software
bible.softwareProverbsProverbs 28 › Proverbs 28:27

Proverbs 28:27

Yeye ampaye maskini 2 hatapungukiwa na kitu chochote, 1 bali yeye awafumbiaye maskini macho 2 hupata laana nyingi. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

He that giveth unto the poor shall not lack: but he that hideth his eyes shall have many a curse.

In Context

26Yeye ajitumainiaye mwenyewe ni mpumbavu, 2 bali yeye atembeaye katika hekima hulindwa salama. 1

28Wakati waovu watawalapo, 2 watu huenda mafichoni, 1 bali waovu wanapoangamia, 2 wenye haki hufanikiwa.

Read all of Proverbs 28

Cross References

Deuteronomy 15:7Ikiwa kuna mtu maskini miongoni mwa ndugu zenu, katika mji wowote wa hiyo nchi ambayo Bwana Mungu wenu anawapa, msiwe na moyo mgumu wala usimfumbie mkono ndugu yako aliye maskini.

Psalms 41:1Heri mtu yule anayemjali mnyonge, 2 Bwana atamwokoa wakati wa shida. 1

Proverbs 11:24Kuna mtu atoaye kwa ukarimu, hata hivyo hupata zaidi, 2 mwingine huzuia, lakini huwa maskini. 1

Proverbs 11:26Watu humlaani mtu awanyimae watu nafaka, 2 bali baraka itamkalia kichwani kama taji 2 yeye aliye radhi kuiuza. 1

Proverbs 22:9Mtu mkarimu yeye mwenyewe atabarikiwa 2 kwa kuwa hushiriki chakula chake na maskini. 1

Isaiah 1:15Mnaponyoosha mikono yenu katika maombi, 2 nitaficha macho yangu nisiwaone; 1 hata mkiomba maombi mengi 2 sitasikiliza. 1 Mikono yenu imejaa damu; 2

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Proverbs 28:27

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Proverbs 28:26Proverbs 28Proverbs 28:28 →