The Bible Software
bible.softwareProverbsProverbs 11 › Proverbs 11:9

Proverbs 11:9

Kwa kinywa chake mtu asiyemwamini Mungu 2 humwangamiza jirani yake, 2 bali kwa maarifa mwenye haki huokolewa. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

An hypocrite with his mouth destroyeth his neighbour: but through knowledge shall the just be delivered.

In Context

8Mtu mwenye haki huokolewa kutoka taabu, 2 naye mtu mwovu huingia humo badala yake. 1

10Wakati mwenye haki anapofanikiwa, mji hufurahi; 2 mwovu atowekapo, kuna kelele za furaha. 1

Read all of Proverbs 11

Cross References

1 Kings 13:18Yule nabii mzee akajibu, “Mimi pia ni nabii, kama wewe. Naye malaika alisema nami kwa neno la Bwana: ‘Mrudishe aje katika nyumba yako ili apate kula mkate na kunywa maji.’ ” (Lakini alikuwa akimwambia uongo.)

1 Kings 22:20Naye Bwana akasema, ‘Ni nani atakayemshawishi Ahabu ili aishambulie Ramoth-Gileadi na kukiendea kifo chake huko?’ “Mmoja akapendekeza hili na mwingine lile.

Job 34:30ili kumzuia mtu mwovu kutawala, 2 au wale ambao huwategea watu mitego. 1

Psalms 55:20Mwenzangu hushambulia rafiki zake, 2 naye huvunja agano lake. 1

Proverbs 4:5Pata hekima, pata ufahamu; 2 usiyasahau maneno yangu wala usiyaache. 1

Matthew 7:15“Jihadharini na manabii wa uongo, wanaowajia wakiwa wamevaa mavazi ya kondoo, lakini ndani ni mbwa mwitu wakali.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Proverbs 11:9

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Proverbs 11:8Proverbs 11Proverbs 11:10 →